Papa Silverio Tazama pia | Marejeo | Viungo vya nje | UrambazajiKuhusu Papa Silverio katika Kamusi Elezo ya Kikatolikikuihariri na kuongeza habarih
Mbegu za PapaPapaWaliofariki 537Watakatifu wa ItaliaPages using ISBN magic links
papa8 Juni536537Papa Agapeto IPapa VigilioPapa HormisdasndoaupadrishoKaisariBizanti20 Juni537karne ya 11mtakatifuSikukuu20 Juni
Papa Silverio
Jump to navigation
Jump to search
Papa Silverio alikuwa papa kuanzia 8 Juni 536 hadi mwezi Machi 537. Alimfuata Papa Agapeto I akafuatwa na Papa Vigilio.
Alizaliwa na Papa Hormisdas katika ndoa yake kabla ya kupata upadrisho.
Aliondoshwa madarakani kwa nguvu ya Kaisari wa Bizanti aliyempendelea Vigilio.
Silverio alifungwa na kufariki tarehe 20 Juni 537.
Angalau tangu karne ya 11 ameheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 20 Juni.
Tazama pia |
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Marejeo |
- Louise Ropes Loomis, The Book of Popes ("Liber Pontificalis"). Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 1-889758-86-8 (Reprint of the 1916 edition. English translation with scholarly footnotes, and illustrations).
Viungo vya nje |
- Kuhusu Papa Silverio katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Silverio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
Jamii:
- Mbegu za Papa
- Papa
- Waliofariki 537
- Watakatifu wa Italia
- Pages using ISBN magic links
(RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.088","walltime":"0.115","ppvisitednodes":"value":620,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":41368,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":36777,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":14,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":0,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 37.337 1 -total"," 92.78% 34.643 1 Kigezo:Mapapa"," 83.19% 31.059 1 Kigezo:Navbox"," 21.17% 7.905 1 Kigezo:Navbar"," 17.03% 6.358 1 Kigezo:Template_other"," 10.05% 3.752 3 Kigezo:Transclude"," 7.00% 2.614 1 Kigezo:Mbegu-Papa"," 6.71% 2.505 1 Kigezo:Icon"],"cachereport":"origin":"mw1294","timestamp":"20190802180714","ttl":2592000,"transientcontent":false););"@context":"https://schema.org","@type":"Article","name":"Papa Silverio","url":"https://sw.wikipedia.org/wiki/Papa_Silverio","sameAs":"http://www.wikidata.org/entity/Q149315","mainEntity":"http://www.wikidata.org/entity/Q149315","author":"@type":"Organization","name":"Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia","publisher":"@type":"Organization","name":"Wikimedia Foundation, Inc.","logo":"@type":"ImageObject","url":"https://www.wikimedia.org/static/images/wmf-hor-googpub.png","datePublished":"2007-07-22T04:41:54Z","dateModified":"2019-08-02T09:46:51Z","image":"https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/4/40/Silverius.jpg"(RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgBackendResponseTime":114,"wgHostname":"mw1267"););