Skip to main content

Austria-Hungaria Viungo vya nje | Urambazaji"Distribution of Races in Austria–Hungary" from the Historical Atlas by William R. Shepherd, 1911The Austro-Hungarian MilitaryAustria–HungaryAustria-Hungary, Dual MonarchyHistory of Austro-Hungarian currency

Historia ya AustriaHistoria ya HungariaHistoria ya UlayaNchi za Kihistoria


milkiUlaya18671918Milki ya AustriaushirikianoAustriaHungariakipaumbeletaifaViennavita ya wenyewe kwa wenyewe katika Ujerumani 1866PrussiaKaisariFranz Joseph I wa AustriahajatajimfalmebungeVita kuu ya kwanza ya duniaUjerumaniuhuru31 Oktoba1918Karl I wa Austria












Austria-Hungaria




Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Jump to navigation
Jump to search




Austria–Hungaria na nchi mpya zilizochukua mahali pake baada ya 1918
Austria-Hungaria ilikuwa eneo ndani ya mstari nyeusi-nyekundu;
"UJERUMANI": Nchi nje ya A-H; Austria: Nchi huru za baadaye zilizokuwa sehemu za A-H; "ROMANIA" sehemu za nchi hizi za leo zilikuwa ndani ya A-H


Austria-Hungaria ilikuwa milki kubwa katika Ulaya ya Kati na Mashariki kuanzia mwaka 1867 hadi 1918.


Iliendeleza Milki ya Austria ya awali ikijengwa juu ya ushirikiano wa nchi za Austria na Hungaria zilizotawaliwa na mfalme yeye yule. Nchi hizo mbili zilikuwa na kipaumbele juu ya mataifa mengine ya milki hii kubwa.


Mji mkuu ulikuwa Vienna.


Austria-Hungaria iliunganisha nchi na mataifa mengi. Nchi za leo zilizokuwa ndani ya au sehemu ya Austria-Hungaria ni kama zifuatazo:


  • Austria

  • Hungaria

  • Ucheki

  • Slovakia

  • Slovenia

  • Kroatia

  • Bosnia

  • sehemu za Ukraine

  • sehemu za Poland

  • sehemu za Romania

  • sehemu za Serbia

  • sehemu za Montenegro

  • sehemu za Italia

Muundo mpya ulianzishwa mwaka 1867 baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe katika Ujerumani 1866 ambako Austria ilishindwa na Prussia.


Hapo Kaisari Franz Joseph I wa Austria aliona haja ya kupata msaada wa Wahungaria waliodai usawa na Wajerumani wa Austria. Kaisari alikubali kupokea taji kama mfalme wa Hungaria akiendelea kutawala kama "Kaisari na Mfalme". Hungaria ilipata bunge lake la pekee.


Milki iliporomoka katika Vita kuu ya kwanza ya dunia. Ilipoonekana ya kwamba Ujerumani na Austria-Hungaria zitashindwa sehemu za milki zilianza kujitangazia uhuru.


Hungaria pia ilijitenga na Austria tarehe 31 Oktoba 1918. Kaisari na mfalme wa mwisho Karl I wa Austria alijiuzulu kama Kaisari na mfalme katika mwezi Novemba 1918.



Viungo vya nje |


  • "Distribution of Races in Austria–Hungary" from the Historical Atlas by William R. Shepherd, 1911

  • The Austro-Hungarian Military


  • Austria–Hungary - extensive list of heads of state, ministers, and ambassadors

  • Austria-Hungary, Dual Monarchy

  • History of Austro-Hungarian currency




Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Austria-Hungaria&oldid=927314"










Urambazaji


























(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.020","walltime":"0.028","ppvisitednodes":"value":43,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":0,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":0,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":2,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":0,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 0.000 1 -total"],"cachereport":"origin":"mw1329","timestamp":"20190514111203","ttl":2592000,"transientcontent":false););"@context":"https://schema.org","@type":"Article","name":"Austria-Hungaria","url":"https://sw.wikipedia.org/wiki/Austria-Hungaria","sameAs":"http://www.wikidata.org/entity/Q28513","mainEntity":"http://www.wikidata.org/entity/Q28513","author":"@type":"Organization","name":"Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia","publisher":"@type":"Organization","name":"Wikimedia Foundation, Inc.","logo":"@type":"ImageObject","url":"https://www.wikimedia.org/static/images/wmf-hor-googpub.png","datePublished":"2007-07-07T16:26:56Z","dateModified":"2014-06-16T14:43:47Z","image":"https://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/2/22/Austria-Hungaria.png"(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgBackendResponseTime":152,"wgHostname":"mw1262"););

Popular posts from this blog

Canceling a color specificationRandomly assigning color to Graphics3D objects?Default color for Filling in Mathematica 9Coloring specific elements of sets with a prime modified order in an array plotHow to pick a color differing significantly from the colors already in a given color list?Detection of the text colorColor numbers based on their valueCan color schemes for use with ColorData include opacity specification?My dynamic color schemes

Invision Community Contents History See also References External links Navigation menuProprietaryinvisioncommunity.comIPS Community ForumsIPS Community Forumsthis blog entry"License Changes, IP.Board 3.4, and the Future""Interview -- Matt Mecham of Ibforums""CEO Invision Power Board, Matt Mecham Is a Liar, Thief!"IPB License Explanation 1.3, 1.3.1, 2.0, and 2.1ArchivedSecurity Fixes, Updates And Enhancements For IPB 1.3.1Archived"New Demo Accounts - Invision Power Services"the original"New Default Skin"the original"Invision Power Board 3.0.0 and Applications Released"the original"Archived copy"the original"Perpetual licenses being done away with""Release Notes - Invision Power Services""Introducing: IPS Community Suite 4!"Invision Community Release Notes

199年 目錄 大件事 到箇年出世嗰人 到箇年死嗰人 節慶、風俗習慣 導覽選單