Kishineu Yaliyomo Jiografia | Wakazi | Viungo vya Nje | Picha | Ramani | UrambazajiOfficial site of ChişinăuOld (1995) Chişinău Photo-GalleryChişinău telephone directoryChişinău - Portail MoldavieChişinău - Magazine MoldavieJewish community of ChişinăuKishinef(Kishinev)Pro TV2005 Chişinău election for mayorRamani ya ChişinăuRamani ya Chişinău yenye pichakuihariri na kuongeza habari
Mbegu za jiografia ya UlayaMiji ya MoldovaMiji Mikuu Ulaya
Kiromaniamwandiko wa kikiriliKirusimji mkuumjiMoldova47°0′N 28°55′Emto BichtawimtoDnestrkm²vyuoshulemakumbushonyumba za maigizoviwandalugha
Kishineu
Jump to navigation
Jump to search
Kishineu (kwa Kiromania Chişinău (matamshi kama mbele); kwa mwandiko wa kikirili Кишинэу, kwa Kirusi Кишинёв "kishinyev") ni mji mkuu, pia mji mkubwa wa Moldova wenye wakazi 600,000.
Yaliyomo
1 Jiografia
2 Wakazi
3 Viungo vya Nje
4 Picha
5 Ramani
Jiografia |
Mji uko kwa 47°0′N 28°55′E kando ya mto Bich (Bîc) ambao ni tawimto la Dnestr. Eneo la mji ni km² 120. Kishineu iko katikati ya nchi ya Moldova.
Kuna vyuo vingi pamoja na shule, makumbusho na nyumba za maigizo. Mji una viwanda vingi.
Wakazi |
Kati ya wakazi kuna vikundi vifuatayo kufuatana na lugha:
Kiromania - 68.4%
Kirusi - 13.7%
Kiukraine - 8.4%
Kiromania - 4.4%
Kibulgaria - 1.2%
Viungo vya Nje |
Official site of Chişinău (in Romanian only)
Old (1995) Chişinău Photo-Gallery - a lot of artistic photos
Chişinău telephone directory (primarily in Russian, some minimal content in English, French, German)
Chişinău - Portail Moldavie (in French)
Chişinău - Magazine Moldavie (in French)- Jewish community of Chişinău
Kishinef(Kishinev), by Rosenthal, Herman & Rosenthal, Max, in the Jewish Encyclopedia (1901-1906)- Pro TV
- 2005 Chişinău election for mayor
Picha |
Chişinău mjini
Sala Cu Orga
Chişinău: Kituo cha Treni
Majira ya baridi
Kitovu cha mji
Uwanja wa ndege Kishineu
Sanamu ya Mtemi Stefanu wa Moldova (1457-1504)
Makazi mapya Kishineu
Ramani |
- Ramani ya Chişinău
- Ramani ya Chişinău yenye picha
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kishineu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Jamii:
- Mbegu za jiografia ya Ulaya
- Miji ya Moldova
- Miji Mikuu Ulaya
(RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.032","walltime":"0.060","ppvisitednodes":"value":58,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":604,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":0,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":3,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":6034,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 3.029 1 Kigezo:Mbegu-jio-Ulaya","100.00% 3.029 1 -total"],"cachereport":"origin":"mw1265","timestamp":"20191004065016","ttl":2592000,"transientcontent":false););"@context":"https://schema.org","@type":"Article","name":"Kishineu","url":"https://sw.wikipedia.org/wiki/Kishineu","sameAs":"http://www.wikidata.org/entity/Q21197","mainEntity":"http://www.wikidata.org/entity/Q21197","author":"@type":"Organization","name":"Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia","publisher":"@type":"Organization","name":"Wikimedia Foundation, Inc.","logo":"@type":"ImageObject","url":"https://www.wikimedia.org/static/images/wmf-hor-googpub.png","datePublished":"2007-03-18T19:11:25Z","dateModified":"2018-02-19T14:19:02Z","image":"https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/7/7d/Chisinau_Center.jpg"(RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgBackendResponseTime":146,"wgHostname":"mw1330"););